Ridhiwani akanusha Kikwete kuumwa

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete

Baada ya kuwepo kwa uzushi mitandaoni kuhusu afya ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni mtoto wake, amesema mzee wake hana tatizo lolote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS