Vibaka na majambazi watafute kazi nyingine

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, George Kyando

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limetangaza vita na vibaka wanaovamia nyumba za watu na kuiba mali pamoja na majambazi wanaotumia silaha na kuwataka waache vitendo hivyo na kutafuta shughuli halali zitakazowaingizia kipato.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS