Bil Gilmour akiwa ameshika tuzo ya mchezaji bora wa mchezo kati ya Scotland dhidi ya Wales alipoonesha kiwango bora.
Kinda wa klabu ya Chelsea Billy Gilmour anatarajia kufanya vipimo vya afya baadae leo hii katika kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na klabu ya Norwich City kwa mkopo.