Jux kwenye vazi la Hereni Msanii Jux Jux, King of hearts kama ambavyo anajiita yeye mwenyewe ni muumini mkubwa sana wa mitindo, na safari hii msanii huyo wa RnB Bongo ametokelezea na vazi la aina yake ambalo limenakshiwa na Hereni. Read more about Jux kwenye vazi la Hereni