Kauli ya serikali kuhusu majambazi
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama punde tu wanapoona viashiria vya ujambazi ili viweze kufanya kazi iliyokusudiwa na kutokomeza vitendo hivyo na kwamba serikali inahakikisha usalama wa raia na mali zao unaendelea kuwepo.