Makato kodi ya miamala kuanza baada ya siku 14
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema fedha zitakazopatikana kwenye tozo ya miamala ya simu na bando za mitandao zitapelekwa kutatua changamoto zililizopo pamoja na kwenye miradi mbalimbali na si kwa ajili ya kulipa mishahara.

