Sababu ya kubadilisha Uwanja KMC vs Simba VPL

Kikosi cha KMC cha msimu wa huu wa mwaka 2020-2021.

Uongozi wa klabu ya KMC 'Kino Boys' umesema mchezo wake dhidi ya Simba kwenye Ligi kuu Bara utachezwa kwenye dimba la Benjamin William Mkapa Julai 7 mwaka huu baada bodi ya Ligi kurithia ombi la KMC kutumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS