Sancho, kuweka rekodi ya usajili England

Jadon Sancho

Winga wa kimataifa wa England Jadon Sancho atakuwa mchezaji wa pili mwenye thamani kubwa katika historia ya taifa hilo endapo kama usajili wake wa kujiunga na Manchester United akitokea Dortmund kwa ada ya uhamisho ya pauni million 73, zaidi ya billion 233 kwa pesa za Tanzania utakamilika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS