Dada amtafuta mwanaume waliyefunga ndoa utotoni

Picha aliyoiweka Leina kupitia ukurasa wake wa Twitter, ikionesha yeye na Albert wakifunga ndoa

Mwanadada anayejiita Leina, ametuma ujumbe kupitia akaunti yake ya twitter akimtafuta mwanaume ambaye alifunga naye ndoa miaka ya nyuma wakiwa watoto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS