Sports Count down ya EA Radio June 29
Sports Countdown ya East Africa Radio ya leo June 29, 2021 inakueletea stori kali sita zilizojiri usiku wa jana na yale yatakayojiri kwa wakati ujao. Ni kupitia kipindi cha Super Breakfast kila siku ya Jumatatu saa moja na robo kupitia wachambuzi wako, Ibrahim Kasuga na Abissay Stephen JR

