Hatma ya Mdude kujulikana leo Kanda wa CHADEMA Mdude Nyagali Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya leo Juni 28, 2021, inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi inayomkabili kada wa CHADEMA, Mdude Nyangali. Mdude anakabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin, gramu 23.4. Read more about Hatma ya Mdude kujulikana leo