Chama akubali yaishe, aanza upya

Kiungo mchezeshaji Clatous Chama amejumuika na wenzake mazoezini

Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chama, amerejea kikosini kutoka nchini kwao Zambia baada ya kumaliza mazishi ya mke wake aliyefariki mwanzoni mwa mwezi huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS