RC Makalla awapa somo Ma-DC wapya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Amos Makalla, amewataka wakuu wa wilaya wapya kwenda kushirikiana na viongozi wengine watakaokutana nao katika maeneo yao ya kazi. Read more about RC Makalla awapa somo Ma-DC wapya