Simba ni kicheko tu kupangwa Kaizer Chiefs Picha ikionesha kombe la mshindi wa michuano ya klabu bingwa Afrika. Droo ya CAF kupanga mechi za hatua ya robo fainali imefanyika leo tarehe 30/04/2021 saa 9:00 alasiri mjini Cairo Misri. Read more about Simba ni kicheko tu kupangwa Kaizer Chiefs