Yanga kumfungulia mashtaka Asukile wa TZ Prisons
Afisa Habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amesema uongozi wa klabu hiyo utamfungulia mashitaka nahodha wa klabu ya TZ Prisons, Benjamin Asukile kwa kutoa tuhuma nzito akidai baadhi ya watu wa Yanga walitaka kutoka rushwa ili kununua mchezo wao.