Cavani adhiihirisha umri si chochote kwake
Mshambuliaji wa Manchester United Edinson Cavani amekuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa kufunga mabao mawili kwenye mchezo wa nusu fainali kwenye mashindano makubwa ya vilabau barani ulaya tangu msimu wa 2004-05.