Mama ala michango ya harusi kujilipa mahari
Mama anayefahamika kwa jina la Noelia mkazi wa Nsemulwa shuleni, wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amekula pesa za michango ya harusi kiasi cha shilingi 80,000 kwa kudai amejilipa mahali maana mkwe wake huyo hajawahi kumlipia mahari binti yake tangu aanze kuishi naye.