Neymar atoa hatma yake PSG, Tutabeba UEFA

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya PSG, Neymar Jr akiongea mbele ya Wanahabari.

Kiungo mshambuliaji wa klavu ya PSG, Neymar amesema kwasasa anafanya mazungumzo na klabu yake hiyo na kusisitiza kuwa anajisikia vizuri na mwenye furaha tele.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS