Mwamuzi Msakila afungiwa, Ibrahim Ame naye yamkuta
Kamati ya Uendeshwaji na Usimamizi wa ligi kuu nchini imemuondoa kwenye orodha ya waamuzi, mwamuzi msaidizi Godfrey Msakila kwenye mizunguko mitatu baada yakushindwa kuumudu mchezo wa Gwambina dhidi ya Simba uliomalizika kwa Simba kupata ushindi wa bao 1-0.