"Mh. Spika umewaletea wagogo heshima"- Shigongo
Mbunge wa jimbo la Buchosa mkoani Mwanza Eric Shigongo, amempongeza kwa nafasi aliyonayo Spika wa Bunge Job Ndugai, kwa kuleta heshima kwa kabila lake la wagogo kwani hapo awali kazi yao ilikuwa ni kuuza maji kando ya barabara.