Kane awatosha japo Spurs fainali ya Carabao
Klabu ya Tottenham Hotsapurs inataraji kucheza dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Carabao saa 12:30 jioni ya leo Aprili 25, 2021 kwenye dimba la Wembley huku wakiwa hawana uhakika kama nahodha wake Harry Kane atakuwa sehemu ya mchezo huo.