Sababu za Azam kuwakosa Dube na Kangwa

Mshambuliaji wa klabu ya Azam, Prince Dube.

Waoka mikate wa jijini Dar es Salaam, Klabu ya Azam itawakosa wachezaji wake tegemezi wazimbabwe, mshamabuliaji Prince Dube na mlinzi wa kushoto Bruce Kangwa kwenye mchezo wake wa VPL dhidi ya JKT Tanzania utakaochezwa saa 8:00 mchana wa leo Aprili 16, 2021.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS