Nyota kibao wa Manchester United kukosekana leo
Klabu ya Manchester United ya England inatazamiwa kuwakosa nyota wake kadhaa wa kikosi cha kwanza kutokana na sababu mbalimbali watakaposhuka dimbasaa 4:00 usiku wa leo Aprili 14,2021 kucheza dhidi ya Granada kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya ligi ya Europa.