Mtibwa yakanusha kuachana na kocha Hitimana Kocha Hitimana Thierry Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Mtibwa Sugar ya Turian Morogoro Nassor Aboubakar amethibitisha kutokuachana na kocha Hitimana Thierry raia wa Burundi. Read more about Mtibwa yakanusha kuachana na kocha Hitimana