Harmonize kuwafikisha Mahakamani wanaomchafua
Kwa mara ya kwanza msanii Harmonize amevunja ukimya kwa yanayoendelea mitandaoni kwa kusema atawafikisha Mahakamani wote ambao wanadaiwa kuvujisha picha, video na sauti siziso na maadili kwa lengo la kumchafua na kumdhalilisha.