Didier Gomez atangaza vita VPL
Kocha mkuu wa klabu ya Simba, Didier Gomez Da Rosa amesema kwasasa wanaweka pembeni michuano ya klabu bingwa Afrika na kugeuzia nguvu kwenye michezo ya Ligi kuu bara 'VPL' k#na kutwaa taji hilo kwani ni kipaumbele chao.