Mwanafunzi darasa la tatu ajinyonga Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Hamisi Issa Mwanafunzi wa Darasa la tatu shule ya Msingi Ikelu Makambako mkoani Njombe, Claud Frolence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia kikoi akiwa anacheza na wenzake shambani. Read more about Mwanafunzi darasa la tatu ajinyonga