Mwanafunzi darasa la tatu ajinyonga

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Hamisi Issa

Mwanafunzi wa Darasa la tatu shule ya Msingi Ikelu Makambako mkoani Njombe, Claud Frolence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia kikoi akiwa anacheza na wenzake shambani. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS