Shilingi trilioni 114.8 zapitishwa kutumika hapa

Waziri wa Fedha na Mpango Mhe. Mwigulu Nchemba

Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania leo Jumatatu tarehe 12 Aprili, 2021 limepitisha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22  hadi 2025/26.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS