"Ndoa yangu nitaifanya kwenye meli" - Mkojani Mchekeshaji Mkojani Mchekeshaji maarufu kwa sasa nchini Tanzania Mkojani Mpango amesema anataka harusi yake iwe ya kitajiri na ataifanya baharini ndani ya meli ifikapo mwezi wa 7 mwaka huu. Read more about "Ndoa yangu nitaifanya kwenye meli" - Mkojani