Pep apania kutinga Nusu fainali ligi ya mabingwa
Matajiri wa jiji wa Manchester, Klabu ya Manchester City saa 4:00 usiku wa leo Aprili 14, 2021 itacheza ugenini kwenye uwanja wa Signal Iduna nchini Ujerumani kucheza dhidi ya Borrusia Dortmund kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa michuano ya klabu bingwa Ulaya.