Harusi yafanyika bila chakula Kenya
Imezoeleka kwenye kila sherehe nyingi lazima kuwe na vinogesho kama chakula, vinywaji, muziki na 'surprise' zingine lakini hiyo imekuwa tofauti kwa wanandoa Amos Mburu na Mary Wairimu ambao wamefunga ndoa na kualika watu bila ya kutoa chochote kwa wahudhuriaji.