'Vilabu vya Tanzania vina pesa' - Ibenge

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Mohammed Dewji

Kocha wa AS Vita Florent Ibenge amekiri kuwa kwasasa vilabu vya Tanzania vimeimarika kifedha ndio maana vinaweza kusajili wachezaji kutoka DR Congo kwenye vilabu vikubwa kama TP Mazembe na AS Vita. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS