Rais Samia na Dr. Mwinyi watoa salamu za Pasaka
Ikiwa leo April 4, 2021 Wakristo wa Tanzania wanaungana na wenzao duniani kuadhimisha sikukuu ya Pasaka ambayo KikrIsto ni maadhimisho ya kuteswa kufa na kufufuka kwa mwokozi wao yaani Yesu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewatakia heri.