Dkt.Mpango atembelea kituo cha Huruma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amelishukuru Shirika la Teresia wa Mtoto Yesu lenye Makao Makuu yake Nchini india kwa kazi nzuri wanayoifanya kuisaidia Tanzania katika kazi ya kuwatunza Watoto Yatima, Wazee na Watu wenye Mahitaji maalUM.