Tambo za Matola na Bocco dhidi ya AS VITA Kesho
Kocha msaidizi wa klabu ya Simba, Selemani Matola amesema siku ya kesho ya tarehe 3 April 2021 ni lazima wapate matokeo watakaposhuka kwenye dimba la mkapa saa 10:00 jioni kupepetuana na klabu ya AS Vita ya Jamhuri ya DR Congo kwenye mchezo wa mzunguko wa tano wa klabu bingwa Afrika.