Polisi yazuia shamrashamra Pasaka 

Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP David Misime

Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS