Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amewafungia kwa muda wa miezi mitatu madereva 10 wa mabasi, ambao wamekuwa wakikiuka Sheria ya Usalama Barabarani kwa kuendesha kwa mwendokasi.