AFCON haijamuacha salama kocha Bafana Bafana
Shirikisho la soka Africa ya kusini 'SAFA' limemfuta kazi aliyekuwa kocha wake wa timu ya taifa Bafana Bafana Molefi Ntseki baada ya kushindwa kufuzu michuano ijayo ya AFCON inayotazamiwa kufanyika mwaka 2022 nchini Cameroon.