Simba yatinga kibabe robo fainali ligi ya mabingwa
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kufuzu hatuaya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika, baada kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya klabu ya AS Vital ya Kongo, lakini pia mabingwa hao wa Tanznaia wamejihakikishia nafasi ya kumaliza vinara wa kundi A baada ya kufikisha alama 13.