Ufafanuzi kuhusu utata wa kauli ya MO Dewji

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya klabu ya Simba Sports Club, Mohammed Dewji.

Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya klabu ya Simba, Mulami Ng'ambi amefafanua ujumbe wa mkurugenzi wake wa bodi, Mohammed Dewji baada ya kutwitt na kueleza hisia zake juu ya uwekezaji wa mkataba mpya wa klabu ya Manchester United na kuhusisha Simba na mkataba wa Sportspesa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS