Kigogo wa TPA ashikiliwa kwa uchunguzi

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo leo Machi 30, 2021 amethibitisha kuwa wanamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS