Fahamu kuhusu mazishi ya bibi yake Obama
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa familia ya Obama, katika kijiji cha Kogelo Kaunti ya Sia nchini Kenya, Mama Sara Obama ambaye amefariki leo Machi 29, 2021, atapumzishwa kesho Machi 30, 2021 asubuhi.