Ujumbe wa Rais Samia kuhusu mazishi ya Hayati JPM
Kuelekea mazishi ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewashukuru wote walioshiriki tangu kifo mpaka sasa.