Mbinu ya 'Dorome' ilivyofanikisha wizi wa magari 5
Magari ya wizi ambayo yamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limekamata magari matano ya wizi yaliyoibiwa katika sehemu mbalimbali hapa nchini, huku watu wawili wakikamatwa kuhusika na wizi huo