Doncic na Holiday wachezaji bora NBA wiki ya 15
Mcheza kikapu wa timu ya Dallas Mavericks, Luka Doncic amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki ya 15 kwenye ligi kuu ya kikapu nchini Marekani kwa upande wa Magharibi baada ya kuonesha kiwango safi kilichoifanya timu yake kushinda michezo mitano mfululizo.