Aguero si dhambi kuichezea Man United

Sergio Kun Aguero mfungaji bora wa muda wote wa Man City

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Paul Ince, amependekeza timu yake hiyo kumsajili mshambuliaji mahiri wa timu ya Manchester City Sergio Aguero, pindi atakapomaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS