Mwili wa Hayati Magufuli wafika nyumbani Chato Mwili wakati ukiingizwa ndani Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli, umewasili Chato jioni ya leo Machi 24, 2021. Read more about Mwili wa Hayati Magufuli wafika nyumbani Chato