Jokic na Giannis wakali wa NBA wiki ya 13
Mlinzi nyota wa timu ya Denver Nuggets na mshambuliaji mahiri wa timu ya Milwaukee Bucks za ligi ya kikapu nchini Marekani, wamechaguliwa kuwa wachezaji bora wa wiki ya 13 kwa kuonesha viwango bora na kusaidia timu zao kufanya vizuri wiki iliyoanzia tarehe 15 hadi 21 Machi 2021.