CAF yaifurusha Chad kufuzu AFCON Wachezaji wa Chad wakiwa kwenye moja ya mechi za kufuzu AFCON 2022 Shirikisho la soka Africa 'CAF' limeiondoa taifa la Chad kuendelea kucheza mechi za kufuzu kwa AFCON baadaye mwaka ujao nchini Cameroon. Read more about CAF yaifurusha Chad kufuzu AFCON